Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

yataka moyo,,zinavutia sana kwa addicts...
1001466_398141483629505_592967184_n.jpg
Am high just looking at this. God. I could smoke it all at once.
 
Sweetheart, it just doesn't click.

Nimejaribu ku click Quuen of Jungle imekataa. Naona itakuwa ilikuwa multiple id.

Unaona matatizo yako ayo?!!!
Ulipataje notification?
Ngoja nami niikiliki na ikikubali na......!
 
Nilikuja nilipoona bhange. Manake since 3rd December 2011 sijavuta tena.

Ni kweli haikilikiki!
But ni kweli haukupata notificatio? Mmh Sidhani! Coz kuna siku Munkari alikusudia kummention mwekundu but nilipata notification mimi! Kufika kule nikaaona mwekundu!
 
Ni kweli haikilikiki!
But ni kweli haukupata notificatio? Mmh Sidhani! Coz kuna siku Munkari alikusudia kummention mwekundu but nilipata notification mimi! Kufika kule nikaaona mwekundu!

Nitakunanilii sasa hivi. Nlipokuambia si ulinibishia.

Sikupata.
 
Nitakunanilii sasa hivi. Nlipokuambia si ulinibishia.

Sikupata.

:doh:
wa jango baathi! Ndio umekarisika kweli?
Usininanilii wajango, sawa?
Nisamee bure, mm wa jango mwenzio! :lol:
 
Mbinu ni kuset mind yake tu,asikubali akili ikamshinda nguvu,aonoze matamanio yake....
Waungwana kuna kijina hapa maeneo ya jamaica camp ameniomba msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi hii ni mara nilipowaambia kuwa mimi nilivuta mara moja na nikaacha baada ya kuniletea madhara.

Amesema amejaribu kujizuia asivute lakini ameshindwa pia wazazi wake wamenitaka niwasaidie ili mtoto wao aiache bangi.

Kama kuna mtu anajua dawa au mbinu anisaidie kumuokoa.
 
Jamani mimi ninahitaji ushauri wa mambo mbalimbali katika maisha ila sihitaji ushauri kutoka kwa vijana wadogo nataka watu wazima umri miaka 25 and above ndio.

Wanishauri na sio wanaume nataka kina dada na kina mama wao ndio wana ushaurI mzurI na ndio ninaouitaji coz ushauri wa wanaume ndio umenifanya niombe ushauri kwa kina dada na kina mama baada ya kunipoteza nina mambo mawili tu ambayo ndio nataka mnishauri 1.

Kwa mliofanikiwa kimaisha ni mbinu gani mmetumia za kuwafikisha hapo mlipo 2, nahitaj kuacha kuvuta bangi nakuwa muwazi tu mimi na iyo tabia sasa nikiomba ushauri wa boys wenzangu wananiambia nisiache coz ni jani la ufahamu hata kwenye bible wanasema kuleni majani ya kondeni mpate ufahamu sijui wanasema ni knowledge wengine wanasema ndio inanifanya nifaulu shule coz shuleni mimi sijawahi kupata division chini ya one tokea o level adi advance hata mitihani ya kawaida ambayo sio NECTA nilikua napata division one tu pamoja na necta zote na nakula kitu cha Arusha.

Sasa hivi ninaanza university (degree ) sitaki tena kula kitu cha Jamaica NIFANYAJE NIACHE?

USHAURI WOTE NITUMIE KWA TXT AU CALL 0656879668 kina dada na kina mama tu.
 
Hata hapa ulivyoandika hivi inaonesha wazi ushapuliza kwanza ndo ukapost
 
Back
Top Bottom