Jamani wacha na mm niweke wazi leo mm nisha tumia sana bangi zaid ya miaka 7 ukwel sijawah fanya kitu chochote kibaya naijua vizuri bangi ila nashkuru mungu now ni mwezi wa.6 nimeacha na siitamani kwakwel niliamua tu
ila kwa sasa nimehamia kwenye sigara najitahid sana kuacha ila dah zaid yakupumzka wiki mbili natafta tiba juu ya hili....msaada plz
1.Kale ka muda unakotumiaja kuvuta hiyo kitu
kabadilishe ukatumie katika michezo.
2.Tafuta jiko/mke ambaye hapendi hiyo kitu,
anaweza kukushawishi kwa namna moja au nyingine
kuacha.
3.Punguza rafiki zako wavutaji na ikiwezekana
achana nao kabisa.
4.Nenda kajiendeleze katika masomo,kwani hii
inaweza kukupunguzia tabia za kimazingira.
5.Usipende kuifanya hiyo kitu ndio kila kitu
katika/kuwa u/timamu katika mambo yako.
6.Ondoa dhana ya starehe ili ikamilike ni lazima
uvute hiyo kitu.
7.Kama ulikuwa hausali/kwenda kwenye nyumba za/ya ibada
ni vyema sasa ukaanza kufanya hivyo na kushiriki kila kitu
kinachohusu ushikishwaji mfano; kuimba kwaya,utumiakiaji n.k
8.Waambie rafiki zako,ndugu zako na jamaa wa karibu kuwa
umeacha kuvuta bhangi.
9.Jiulize ulianzaje na ulifanya hivyo kwa sababu gani hasa ya
muhimu,je kwa sasa kuna umuhimu wowote wa kuendelea nayo
na kama sivyo tumia mbinu ile ile kuanza kuacha taratibu.
Njia zipo nyingi karibia 90 za kuacha kutumia dawa za kulevya
ingawa nyingine ni ghali sana kuzitumia.
Safi Mkuu,
Hata usivute, Mi nakumbuka siku nilovuta kwa mara ya kwanza, nilikaa zaidi ya masaa manne, nikiji evaluate kimaisha, hatua nilizopiga, Uzembe nilofanya, na mambo kama hayo, basi kuanzia kesho yake, nikaanza kuwa responsible ktk maisha yangu.
Somewhere on the way, ndio nikajikuta naipa credit Bangi, for the change that it made in Me.

uandishi wako ni dhaifu kila kona mkato hata pasipohitajika na maneno mengine hayaelewek. Vip ukiandika ukiwa hujavuta inakuaje?
kwahiyo mpaka sasa bado unavuta? Vp maendeleo yako ya sasa ukifananisha na kipind kile ukiwa huvuti
Ila nimewah kusikia mtu unapovuta bang kwa muda mrefu inafikia mahal mwil unazoea na hapo unajikuta na nia ya kubadilisha kilev ili kuongeza stimu na ndo mwanzo wa kujidunga na kula madawa ya kulevya. It's time to change and it's begin with you
I Pray not to reach that stage, Nitaacha, japo sijui lini.
Wamebarikiwa wale wavutao mmea mtakatifu, bangi hukuweka katika hali ya tahajudi, yaani ukaribu na Muumba. Endelea kubarikiwa mkuu Noel 2014
Ndio, usipumbazwe na hawa walioiweka bangi miongoni mwa madawa ya kulevya ili kulinda biashara zao haramu za madawa. Mmmea umekuwa na uhusiano wenye manufaa na binadamu kwa zaidi ya miaka elfu kumi, hadi wanasiasa fulani pale MArekani walipoamua kuharamisha 'dawa' kwa manufaa yao ya kiviwanda.Ha ha ha haaaa. Hii sikuijua, nadhani nitahitaji darasa juu ya hili zaidi Mkuu.
Angalizo: Watoto wa kuomba bangi haziwafai, sababu wengi wao huwa na wadudu (majini). Kuna mwanangu mmoja mfano wa hao nilio wataja, ye akivuta tu linamtuma kukimbia kimbia tu, yani ile nusu uchizi, kimtindo mpaka inakua kero mkivuta nae. Lakini tangu jamaa ajigundue (kua ni mtoto wa chini ya mbuyu) ameacha bange nasasa kaamua kua mlevi tu. Kwahiyo ukijiona bangi inakupeleka less ujue huendani nayo, tafuta ulevi mwengine.Safi Mkuu,
Hata usivute, Mi nakumbuka siku nilovuta kwa mara ya kwanza, nilikaa zaidi ya masaa manne, nikiji evaluate kimaisha, hatua nilizopiga, Uzembe nilofanya, na mambo kama hayo, basi kuanzia kesho yake, nikaanza kuwa responsible ktk maisha yangu.
Somewhere on the way, ndio nikajikuta naipa credit Bangi, for the change that it made in Me.
Kucheka na kulia zote "kelele tu", huko kanisani kwenyewe tunapewaga Mvinyo! Sasa sibora nivute kuliko kunywa!! Anaepinga bangi ilhali yeyemwenyewe ni mtu wa kiti kirefu huyo ni punguani wa akili.Mpokee Yesu kuwa mokozi.. halafu utajazwa Roho mt. then hutatamani bhange tena..
Jamani wacha na mm niweke wazi leo mm nisha tumia sana bangi zaid ya miaka 7 ukwel sijawah fanya kitu chochote kibaya naijua vizuri bangi ila nashkuru mungu now ni mwezi wa.6 nimeacha na siitamani kwakwel niliamua tu
ila kwa sasa nimehamia kwenye sigara najitahid sana kuacha ila dah zaid yakupumzka wiki mbili natafta tiba juu ya hili....msaada plz
Alie kwambie kakutapeli kimaneno huyo. Kwanza bangi ndio kilevi pekee kisichipenda kuchanganywa na kilevi chingine chichote. Yani ukiizoea tu inaku permite-se usitumie kilevi chingine chichote. Mvuta bangi (sio anaevuta ili akate haibu) hua hapendi pombe, sigara sikuambii hiyo cocaine uliyo itaja hapo, na ikitikea akatumia kwa siku, basi atakua ameharibu siku yake, maana hatokua ktk hali yake ya kawaida.Ila nimewah kusikia mtu unapovuta bang kwa muda mrefu inafikia mahal mwil unazoea na hapo unajikuta na nia ya kubadilisha kilev ili kuongeza stimu na ndo mwanzo wa kujidunga na kula madawa ya kulevya. It's time to change and it's begin with you