Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,514
- 768
Jamani wacha na mm niweke wazi leo mm nisha tumia sana bangi zaid ya miaka 7 ukwel sijawah fanya kitu chochote kibaya naijua vizuri bangi ila nashkuru mungu now ni mwezi wa.6 nimeacha na siitamani kwakwel niliamua tu
ila kwa sasa nimehamia kwenye sigara najitahid sana kuacha ila dah zaid yakupumzka wiki mbili natafta tiba juu ya hili....msaada plz
sigara ni rahisi kuacha endapo hautumii pombe, kaz ni kwako chukua hatua