Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

msaada jamani,nataka niache kabisa hii k2(BANGE,majani,kaya,joint,kijiti,msuba n.k).naivuta sana japo nimejitahidi kwa siku roll 1 !kete!.nifanyeje niweze acha kabisa...msaada wadau mjengoni


Ukiamua unaweza kuacha hata bila msaada wowote.
 
Kama umeshindwa kutumia nguvu ya maamuzi toka ndani yako hiyo ni adiction.tumia mzizi glycyrrhiza grabra,mbegu milk thistle,passion flower, kudzu au mzizi valerian.
 

nenda hospitali kwa msaada zaid wa kukusaidia kuacha bangi
 
Akipata madhara kama wewe nayeye ataacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…