Ikiwa nikiivuta nakuwa
katika Mood ambayo mimi deeply in My Heart ndio Mood nayoitaka
kuwa/kuishi?
Mimi ni Muongeaji sana, mapepe sana, sio msikilizaji mzuri, mathali mara
kadhaa nimekuwa nikikatiza watu nao zungumza nao, japo huwa najistukia,
but tayar nakuwa kidogo nishakatisha mazungumzo, wakati mwingine naona
hasira ya mzungumzaji, hasa pale baba anapobiambia "Heebu Nisikilize
kwanzaaa", hapo nami najistukia, na kuanza kujilaumu, anyway nachotaka
sema ni hiki, napokuwa nimevuta Bangi, basi nakuwa Mpole, sina maneno
mengi, nakuwa settled, i think well wala sioni Uvivu kuwa in deep
thoughts, mara nyingi, kama sio zote hata threads nazoandika kuhusu
maisha yangu, mawazo yangu huyapanga vyema napokuwa "high" kama sasa,
japo hakuna hata neno moha naloweka La uwongo about me, japo wapo wanao
ni doubt.
Anywayz, Bangi hunipa Nguvu ya kufanya kazi ngumu, ambayo ktk hali ya
kawaida ningeteseka sana mpaka kuimaliza, I never Panic when am high, i
never Fight, i talk well, slow, i listen, i think before replying,
yaani, i alway become that Person i alwayz want to be in Personality
Manner, Sasa najiuliza how can i stop it?
When am high, am Cool, Calm, Gentle, Thinker, Decider, i act Upon what i
Plan when am high, and when am high at time of implementing that Plan,
I remember one day nikiwa pale napokaaga siku zote napotaka kuvuta,
nikiwa katkati ya nachofanya, Likaja wazo la Mshahara wangu kuwa mdogo
kulingana na kazi kubwa nayofanya, hapa ni kwa namna nilivyojivalue,
basi nikafikia azimia la kumface boss wangu Mdosi, keaho yake as well
asubuh kabla sijatoka Room, nikastua, and Ghafla nikapata stregth,
nikajikuta naongeza kuwa, sintofanya kazi wala kuripoti on my duty
station mpaka kwanza nimeongea na Boss, wangu, na kweli nilipofika,
nilimsubiri, alipoingia nikamfuata, nikamwambia, "Sir! May i please
speak with about something, aliniuliza what was it about, nikamwambia My
Salary Sir, hapo alikuwa amekaa kwenyw kiti chake, akazungumza kwa
kihindi, akisema na secretary wake, kidogo yule dada akainuka jikabaki
na Boss, japo Machozi kama yalitaka kutoka, nilijikaza nikamweleza kuwa
sijafurahishwa na kiasi cha mshahara nacholipwa ukilinganisha na nafasi
ya kazi, pamoja na dhanama ya ofisi nayoipewa, nikamtajia kiasi nachoa
amini ni fair mimi kulipwa kulingana na kazi yangu, na Ujumla wa mali
nao utunza in terms of both Value n Quantity, na kweli baada ya week
mbili nilipewa barua ya kuongezewa Mshahara.
Ilinipa Ujasiri ambao nautaka siku zote, lakini naupara when and Only
when am "High"......
Ni habari ndefu kidogo, but just imagine, najiuliza hapa sasa hivi, how
can i stop it? And again how can i be the Man i wanna be intermz of my
Personality, as i always be when Am High?
Ama nisiache?
Was just Thinking........!!!!! Mmmmmh.