Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee
Naombeni msaada Wakuu
Fanya meditation
Meditation huwa inaondoa mawazo machafu kwa kiwango kikubwa hasa ukiifanya kuanzia saanane hivi.
Pia soma kitabu cha semen retention uangalie hiyo nguvu ya kutoa Semen/sperms utafute eneo uiweke hii huwa wanafanya sana Watu wanohitaji kufanikiwa katika mambo makubwa yaweza kuwa Kazi, biashara n.k. mfano Elon Musk Michael Tyson , Steve Job ,Socrates n.k
Semen retention na no FAP hizi zinafanana Ila zimetofautiana kidogo.
Kiroho Mwanaume ngono inamdumaza Sana
Na kiafya kimwili inadumaza pia mambo ya immunity , n.k.
So ushauri wangu ni Ku-replace hiyo nguvu .
Mfano hii nguvu Mimi huwa na nai-replace kea Kusoma vitabu , kujifunza lugha za kigeni na kufanya maombi.
All the best you need to drive sex and not to be driven by sex 🙏🏽
What you reveal you can heal
Utapona na utarudi katika hali yako nzuri