Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Ukipata majukumu ya familia au MARADHI HAZINA utatulia mwenyewe trust me..Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee
Naombeni msaada Wakuu
Hapo nenda hospital kwa wataalam wakupe CancellingWakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee
Naombeni msaada Wakuu
Ni kweli 'Cancelling'Hapo nenda hospital kwa wataalam wakupe Cancelling
Kwa mwanaume kila unapokula hiyo mbususa unapunguza siku zako za kuishi yaani unazeeka haraka wafuatilie wanaochimba mgodi sanaa wakojeWakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee
Naombeni msaada Wakuu
Mgodi upi?Kwa mwanaume kila unapokula hiyo mbususa unapunguza siku zako za kuishi yaani unazeeka haraka wafuatilie wanaochimba mgodi sanaa wakoje
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee
Naombeni msaada Wakuu
πππPole sana pia hongera kwakuja hapa kuthibitisha kua wewe nikijana wa hovyo kwenye jamii na mbele za universe.
Walio wengi hujificha kwenye matatizo yao wakidhani ndio njia pekee yakuishinda aibu na fedheha watakayo pata hapo badae.
Nisikiliza vizuri sana wewe ni universe wewe ndio mtengenezaji wa hii dunia nawewe ndio mbomoaji wa dunia hii.
Amua sasa,anza kuijenga upya dunia acha uchafu wanamna hiyo.
Funga harafu fanya meditation walau kwasiku mara2.
Kwamsaada na muongozo chukua namba hapo profile nicheki WhatsApp uanze darasa
πππ
Ya kale yamepita tazama yamekua mapyaPole sana pia hongera kwakuja hapa kuthibitisha kua wewe nikijana wa hovyo kwenye jamii na mbele za universe.
Walio wengi hujificha kwenye matatizo yao wakidhani ndio njia pekee yakuishinda aibu na fedheha watakayo pata hapo badae.
Nisikiliza vizuri sana wewe ni universe wewe ndio mtengenezaji wa hii dunia nawewe ndio mbomoaji wa dunia hii.
Amua sasa,anza kuijenga upya dunia acha uchafu wanamna hiyo.
Funga harafu fanya meditation walau kwasiku mara2.
Kwamsaada na muongozo chukua namba hapo profile nicheki WhatsApp uanze darasa
πππ
Tumia akili mnembo tukiongea Kwa kugonga msumari mtasema hatuna adabuMgodi upi?
Mnembo mwenyeweTumia akili mnembo tukiongea Kwa kugonga msumari mtasema hatuna adabu