amoneka athumani Member Joined May 4, 2017 Posts 42 Reaction score 10 Jul 31, 2017 #1 Naomba kusaidiwa jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka china kupitia alibaba express Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka china kupitia alibaba express Sent using Jamii Forums mobile app
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,172 Jul 31, 2017 #2 ngoja wajuvi waje.
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 Jul 31, 2017 #3 Bidhaa nyingi za Alibaba zinaagizwa kwa minimum order ya kontena moja. Siku za nyuma nilitaka kuagiza rim kama mia tano nikakwama.
Bidhaa nyingi za Alibaba zinaagizwa kwa minimum order ya kontena moja. Siku za nyuma nilitaka kuagiza rim kama mia tano nikakwama.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 Jul 31, 2017 #4 Nichumu Nibebike said: Bidhaa nyingi za Alibaba zinaagizwa kwa minimum order ya kontena moja. Siku za nyuma nilitaka kuagiza rim kama mia tano nikakwama. Click to expand... Mkuu unasema kweli??
Nichumu Nibebike said: Bidhaa nyingi za Alibaba zinaagizwa kwa minimum order ya kontena moja. Siku za nyuma nilitaka kuagiza rim kama mia tano nikakwama. Click to expand... Mkuu unasema kweli??
SERaniz Member Joined Jan 14, 2019 Posts 26 Reaction score 6 Jan 31, 2019 #5 amoneka athumani said: Naomba kusaidiwa jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka china kupitia alibaba express https://tgw.onl/hostgator/ https://tgw.onl/dreamhost/ https://tgw.onl/bluehost/ Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bidhaa nyingi za Alibaba zinaagizwa kwa minimum order ya kontena moja. Siku za nyuma nilitaka kuagiza rim kama mia tano nikakwama.
amoneka athumani said: Naomba kusaidiwa jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka china kupitia alibaba express https://tgw.onl/hostgator/ https://tgw.onl/dreamhost/ https://tgw.onl/bluehost/ Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bidhaa nyingi za Alibaba zinaagizwa kwa minimum order ya kontena moja. Siku za nyuma nilitaka kuagiza rim kama mia tano nikakwama.
Elifuraha Bussism JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 210 Reaction score 127 Feb 1, 2019 #6 Mfano nikinunua chombo cha moto wanasafirishaje? Tozo zao zimekaaje kwa vyombo kama gari,tractor nk?