Msaada: Jinsi ya kuagiza mzigo kutoka China

Msaada: Jinsi ya kuagiza mzigo kutoka China

Bidhaa nyingi za Alibaba zinaagizwa kwa minimum order ya kontena moja. Siku za nyuma nilitaka kuagiza rim kama mia tano nikakwama.
 
Mfano nikinunua chombo cha moto wanasafirishaje?
Tozo zao zimekaaje kwa vyombo kama gari,tractor nk?
 
Back
Top Bottom