makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Ndugu yangu umekutwa na Nini tena πππMsaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.
mshamba_hachekwi Joanah
Yaa nashukuru nimefaulu.Najua umeshapewa miongozo
Eee mkuu, siwezi kubaki singo kisa ni kuandika hadithi tu.Ndugu yangu umekutwa na Nini tena πππ
Samaleko! Kuna bidada anataka hadithi ili awe mshemeji letu au
Semaji la Majobless Promax
Kijana angu nakuombeaEee mkuu, siwezi kubaki singo kisa ni kuandika hadithi tu.
Msisahau kuniombea lakini
Sijuwi kwa sababu ni mpaka apime pia uwezo wangu kwenye kuandika hadithi/simulizi.Kijana angu nakuombea
Ko ukibandika hadithi unakukubali ?
Mkuu mimi ni mmakonde na sisi wamakonde tukipenda huwa atutaki masihara na ntu, kwahiyo kama nitakatazwa kufika ofisi ya chama cha majobless sitaweza kumpiga anipae usingizi.Kwa hiyo utakuwa hunitembelei ofisi za semaji shemeji atatukukataza
hapa mkuu nielekeze na mm baada ya kuandika nimebonyeza copy lakini sijaona naendelea vp hadii naipost hapa hapa jamiiforum..nimeruka wapi naona mapicha tu pale kwenye notes sijaona pa kupaste kuja JFSimulizi: Sekunde 921
Mtunzi: kijana masikini
Sehemu ya kwanza.
Kabla sijamjibu chochote Alex niliingia ndani na kuanza kutafuta picha ya sadati huku jasho jingi likinitoka, japo akili yangu ilikuwa ikiniambia kabisa kwamba pichi niliweka ndani ya kabati lakini mboni za macho yangu zilishindwa kabisa kuiona.
"Dah nafanyaje sasa"
Niliongea huku nikiitazama saa yangu ya mkononi.
"Kim.. Kim.. Kim ujue unachojaribu kukifanya ni kitu hatari sio kwako tu bali kwa familia kwa ujumla hususani dada yako"
Aliongea Alex huku akitanguliza kiniita mara tatu kwa jina langu la Kim ambalo ni ufupisho wa KIjana Masikini
Nilimgeukia Alex na kumtazama, alikuwa amesimama mlangoni akionekana kutokuridhia kabisa juu ya jambo nililodhamiria kulifanya.
"Alex, jasiri hufa mara moja tu ila muoga hufa mara nyin....
yeees nimeweza asante sana wote mliojitokeza kunisaidia.
sheremaya Edo kissy
Ukisha kopi kule unahama kabisa, yaani unatoka kwenye lile faili. Ukisha toka unakuja/unafungua jeiefu, unaenda sehemu ya kupost uzi au kucomenti. Kwenye ule uwanja wa kuandika sasa kabla hujaandika chochote unapakandamiza kwa kidole. Ukisha kandamiza litatokea neno 'paste' ukilibonyeza hilo neno ndiyo yatatokea yale maandishi yako uliyo kopi kule kwenye notebook.hapa mkuu nielekeze na mm baada ya kuandika nimebonyeza copy lakini sijaona naendelea vp hadii naipost hapa hapa jamiiforum..nimeruka wapi naona mapicha tu pale kwenye notes sijaona pa kupaste kuja JF