makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Ndugu yangu umekutwa na Nini tena 😂😂😂Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.
mshamba_hachekwi Joanah
Samaleko! Kuna bidada anataka hadithi ili awe mshemeji letu au
Semaji la Majobless Promax