Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #21
Ndiyo aseme hapa nisije nikajichosha na stori zangu za kijana muuza mitumba.Alafu ukute anapenda story za kivita..kazi unayo mkuu..mbona wewooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo aseme hapa nisije nikajichosha na stori zangu za kijana muuza mitumba.Alafu ukute anapenda story za kivita..kazi unayo mkuu..mbona wewooo
Alie muoa paula kauza gar BMW now yuko na spacio kama sikosei kisa madeni kamali dah kuna watu wamelogwaHao wote married tayar. Tumpe shoga yangu Restuta alikua anawaficha kwa ma mtm kule alfa koi
Mjini kwa moto sanaAlie muoa paula kauza gar BMW now yuko na spacio kama sikosei kisa madeni kamali dah kuna watu wamelogwa
Pesa Hana na story ashindwe kuandika..Aise mkuu 🤣🤣🤣 mwamb yup serious mrembo lazima ajahee
Mh kwahiyo nafanyaje maana sijawahi kuitumia hii naiona tu. Sijuwi matumizi yake, ila naingia huku nasubiri majibu yako
Ngoja nisubiri hadithi zako 😂😒😒😒 Umenikataa kwa shombo na kejeli kwamba sina hela naomba uniache nipambanie kombe sehemu nyingine tafadhali
Sikutaki tena najuwa tu unataka kunirushia ndege wangu. nilishasema tangu asubuhi utanikumbuka tu mimi ni supa staa ajae.Ngoja nisubiri hadithi zako 😂
Pengine utanishawishi
Hiyo 2013 ni vipande vya hadithi (Episodi) au ni nini?Yangu ipo Google Docs imefikia 2013 ikifika 2025 naileta
Nimerudi mkuu nimeona namna ya kuandika na nimeandika kidogo pia mh nafanyaje sasa ili nichapishe!
katika kuandika hio story nilianza mwaka 2000 nikasimulia kisha 2001 hivo hivo mpaka 2013 ndio nasema masimulizi yakifikia 2025 nailetaHiyo 2013 ni vipande vya hadithi (Episodi) au ni nini?
😂😂😂UnanifurahishaSikutaki tena najuwa tu unataka kunirushia ndege wangu. nilishasema tangu asubuhi utanikumbuka tu mimi ni supa staa ajae.
Duh! mkuu uko sirias na hii kazi. Bila shaka nitahitaji kujifunza mengi kutoka kwako.katika kuandika hio story nilianza mwaka 2000 nikasimulia kisha 2001 hivo hivo mpaka 2013 ndio nasema masimulizi yakifikia 2025 naileta
Shikilia hayo maandishi yatatokea maneno select all yabonyezehapa nimeandika kupitia Notes ya simu yangu Kama nilivyoelekezwa na Mkuu Mwachiluwi, nafainyaje hii ili kuipost
Mwachiluwi Nomadix
View attachment 3233783
OK ngoja niende hukoShikilia hayo maandishi yatatokea maneno select all yabonyeze
kisha yatatokea maneno copy yabonyeze
kisha uende unapotaka kuyapost mfano humu JF shikilia sehemu unapotaka kupost yatatokea maneno paste
swadakta umeweza hongera mkuuKabla sijamjibu chochote Alex niliingia ndani na kuanza kutafuta picha ya sadati huku jasho jingi likinitoka, japo akili yangu ilikuwa ikiniambia kabisa kwamba pichi niliweka ndani ya kabati lakini mboni za macho yangu zilishindwa kabisa kuiona.
"Dah nafanyaje sasa"
Niliongea huku nikiitazama saa yangu ya mkononi.
"Kim.. Kim.. Kim ujue unachojaribu kukifanya ni kitu hatari sio kwako tu bali kwa familia kwa ujumla hususani dada yako"
Aliongea Alex huku akitanguliza kiniita mara tatu kwa jina langu la Kim ambalo ni ufupisho wa KIjana Masikini
Nilimgeukia Alex na kumtazama, alikuwa amesimama mlangoni akionekana kutokuridhia kabisa juu ya jambo nililodhamiria kulifanya.
"Alex, jasiri hufa mara moja tu ila muoga hufa mara nyin....