Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

Dasizo

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
173
Reaction score
413
Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
 
Toka wabadilishe mwonekano wa webpage yao imekuwa ni vigumu sana kujua Salio la deni. Hawa webpage designers wao ni hovyo sana. Webpage ya bodi imekuwa sio user friendly kabisa. Mtumiaji anahangaika sana yaani mpaka uende kozi.
 
Yaani hovyo kuliko hovyo yenyewe.

Wameweka utaratibu wa kuwasiliana nao (Get intouch) request kwenye website zinafeli, namba za simu zilizopo kwenye website yao hazipatikani, emails hawajibu, kwenye social media hawako active!!!

Yaani mteja nahangaika kuwatafuta wao ili niwalipe, ni Watu wa ajabu saaaana.....
 
Back
Top Bottom