Msaada: Jinsi ya kuanza/kusajiri kampuni na Biashara

Msaada: Jinsi ya kuanza/kusajiri kampuni na Biashara

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
233
Reaction score
263
Wakuu habari za shughuli mbali mbali, leo nimevuviwa moyoni nianze kampuni ya kuuza nafaka na mambo mbali mbali, kampuni hii itajihusisha na kufungasha vitu kama vile dagaa,mchele maharagwe, na na mambo fulani ili kuuza nje na ndani ya nchi,
Naomba ushauri wenu wazoefu ili kufankisha hili nisaidieni,
A) kampuni hii nataka ijuhusishe na mambo mbalimbali kama vile tajwa hapo juu
B) Nitaanzia wapi ili kuisajiri.? Na kuapata jina la kampuni?liaitwaje yaani Limited au nini?
NB: Naomba msaada wenu katika hilomm sina uzoefu na biashara so natka kufanya hivyo ili niinue uchumi na huduma ya Mungu kwa ujumla asanteni na karibuni sana.....
NIPO ONLINE KUPATA MSAADA WENU



Sent from my iPad using JamiiForums
 
Je unaweza kutueleza taratibu za kuanzisha Clearing and Forwarding Company?
 
Back
Top Bottom