Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kesho muda wa kazi chukua namba za msaada wapigie waeleze watakusaidia sio Jambo gumuSijui nifanyeje
Pamoja mkuuHapo tumeelewana sasa. Pamoja sana.
Issue ndogo iyo. Ukiwapigia wanakubadirishia. Vizia muda wa kazi. 10am hadi 2pm hivi.Sijui nifanyeje
Namba wanaweka zipo tu lazima watoe namba za msaada maana wanajua kuna kukosea piaHapo sasa itabidi uwasiliane na Admissions office wakubadirishe au nenda kwenye my profile or similar thing kabadirishe kama inawezekana.
Kwenye system yetu (SIMS) ilikua kubadirisha lazima umcheki Admission Officers namba zao za Simu zinakua hapo chini.
Kama inaandika already register maana yake hiyo account ipo sasa badili password, Bonyeza hapo forget password then fuata procedure hakikisha email yako uliyojisajilia mwanzoni ipo active maana utatumiwa message ya reset password kwenye email yakoSijui nifanyeje
mkuu namba zao unaweza kuwa nazo? pale kwa online application sizioniIssue ndogo iyo. Ukiwapigia wanakubadirishia. Vizia muda wa kazi. 10am hadi 2pm hivi.