Msaada jinsi ya kuapply UDOM

Msaada jinsi ya kuapply UDOM

Hapo sasa itabidi uwasiliane na Admissions office wakubadirishe au nenda kwenye my profile or similar thing kabadirishe kama inawezekana.

Kwenye system yetu (SIMS) ilikua kubadirisha lazima umcheki Admission Officers namba zao za Simu zinakua hapo chini.
Namba wanaweka zipo tu lazima watoe namba za msaada maana wanajua kuna kukosea pia
 
Sijui nifanyeje
Kama inaandika already register maana yake hiyo account ipo sasa badili password, Bonyeza hapo forget password then fuata procedure hakikisha email yako uliyojisajilia mwanzoni ipo active maana utatumiwa message ya reset password kwenye email yako
 
wakubwa habari za mda huu, msaada plz kwa mwenye namba za admission helpline udom
Screenshot_20240720-192853.png

genius_
 
Back
Top Bottom