UmejuajeUnatumia samsung....?
Sasa utablock number ya Airtel money? Ambayo ukifanya muamala ndio inakuletea meseji?Block namba moja moja,wakituma tu ujumbe nenda setting ya sms kwa Android Mara nyingi ipo kwenye Dot's tatu zilizopo upande wa kulia juu ya screen yako
Mkuu wapigie simu tu na uwaondoe katika mailing list yao.Habarini wanajamvi.
Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao.
Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa watu.Vitu vingine havina msingi kabisa ni kujaza simu tu.Yaani wanatufanya kama watoto hivi mtu upewe mamilioni au gari la bure hivi hivi tu.
Haiingii akilini hata kidogo.Waache hiyo tabia watafute namna nyingine ya watu kushiriki hizo bahati nasibu zao.
Mkuu wapigie simu tu na uwaondoe katika mailing list yao.
Mimi nimefanya hivyo kwa vodacom na Tusuamapene yao. Sasa sipati tena.
Jamaa wamezidi aiseeHabarini wanajamvi.
Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao.
Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa watu.Vitu vingine havina msingi kabisa ni kujaza simu tu.Yaani wanatufanya kama watoto hivi mtu upewe mamilioni au gari la bure hivi hivi tu.
Haiingii akilini hata kidogo.Waache hiyo tabia watafute namna nyingine ya watu kushiriki hizo bahati nasibu zao.
Ukifanya muamala wowote wa Airtel money unaingizwa moja Kwa moja kwenye bahati nasibu Yao ambayo Kila siku mahindi mmoja anapata 1m.
Huwezi jua unaweza shinda na wewe.
Anyway Mimi ni mshiriki mmoja wapo ambaye nipo kwenye uchezeshaji wa hiyo bahati nasibu
View attachment 2273473inachezwaje tupe mwanga kidogo.
Wapigie simu tu.Unawaondoaje!!
Sijawahi kuona namba ya huduma ya fedha inatuma ujumbe wa tangazo,kwangu huwa Ni namba nyingineSasa utablock number ya Airtel money? Ambayo ukifanya muamala ndio inakuletea meseji?
Aityel ndio wanafanya hivyo sasaSijawahi kuona namba ya huduma ya fedha inatuma ujumbe wa tangazo,kwangu huwa Ni namba nyingine