Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Jun 26, 2022 #21 Bunge letu dhaifu. Hii kitu ilitakiwa sheria iwekwe maana simu yangu sio uwanja wa matangazo yao la sivyo walipie kila ikija. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Bunge letu dhaifu. Hii kitu ilitakiwa sheria iwekwe maana simu yangu sio uwanja wa matangazo yao la sivyo walipie kila ikija. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,595 Reaction score 3,670 Jun 26, 2022 #22 Espy Atoto said: Mie voda jamani, line yao sijaaweka vocha ina zaidi ya mwaka sasa ila kila wakati wananitumia sms ya kifurushi changu kuisha sasa sijui kifurushi gani[emoji134][emoji134][emoji134] Click to expand... same here asee, nadhan wamechanganyikiwa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Espy Atoto said: Mie voda jamani, line yao sijaaweka vocha ina zaidi ya mwaka sasa ila kila wakati wananitumia sms ya kifurushi changu kuisha sasa sijui kifurushi gani[emoji134][emoji134][emoji134] Click to expand... same here asee, nadhan wamechanganyikiwa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jun 26, 2022 #23 great joel said: Umejuaje fundi bishoo said: Unatumia samsung....? Click to expand... i long press ikuletee alama hii ya notification kama hapo chini afu ziblock mesej ziingie kya kmya Click to expand... Attachments Screenshot_20220626-230902_Messages.jpg 38.2 KB · Views: 6
great joel said: Umejuaje fundi bishoo said: Unatumia samsung....? Click to expand... i long press ikuletee alama hii ya notification kama hapo chini afu ziblock mesej ziingie kya kmya Click to expand...
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 Jun 27, 2022 Thread starter #24 Mi nataka zisiingie kabisa