msaada jinsi ya kucalculate GPA

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
nauliza how to calculate GPA ,je hiyo iko costant kwa vyuo vyote bongo au duniani,naomba kujuzwa
 
Please consult ur university prospectus
 
nauliza how to calculate GPA ,je hiyo iko costant kwa vyuo vyote bongo au duniani,naomba kujuzwa

Kupata Grade Point Average (GPA), jumlisha point za Marks zote ulizopata kwa kila somo halafu gawanya kwa idadi ya Masomo (units).
SUBJ MARKS GRADE POINT
Mfano 1. Acct and Fin 80 A 5
2. business Law 60 B 3

then GPA =4.0.

NB Grade zinatofautiana kulingana na chuo husika, angalia prospectus ya chuo chako. Pia hapo utapata mwongozo wa 1st class, Upper 2nd na Lower Class.
 
asante mkuu
 
nasoma UDOM prospectus ndio mkuu wa chuo au ndio cheo gani msaada please

Eeeeh!!Mkuu you can't be serious yani hujui prospectus ni nini??

Na chuoni kwenu hampewi??

Nakupa homework mfuate dean of students wa school ama faculty yako umuulize prospectus yako iko wapi??

Afu urudi hapa unipe majibu

Hii hali ni tete

Cc Excel
 
Excel umeitwa huku!!!
Ila jamaa mi simwamini...yani mwanachuo hajui maana ya prospectus hata kwa kugugo...au anataka chafulia akina UDOM!? Simwamini asee..
 
Last edited by a moderator:
Excel umeitwa huku!!!
Ila jamaa mi simwamini...yani mwanachuo hajui maana ya prospectus hata kwa kugugo...au anataka chafulia akina UDOM!? Simwamini asee..

mkuu kuna vitu unaangalia hadi unaona vina chosha!

hivi mtu kama huyu alishindwa nini hata kuwauliza wanafunzi wenzie kama aliona kwenye kwenye department ni shida?

mbona JLE linaendeshwa na vitoto?
tian.. movement niliyoianzisha MMU angalau itazaa matunda!
 
Last edited by a moderator:
nasoma UDOM prospectus ndio mkuu wa chuo au ndio cheo gani msaada please

mkuu kuna siku nilikwambia hujitambui ukasema nakutukana..

sasa umejiweka wazi mbele za watu kuwa wewe hujijui!

UDOM sio tatizo.. ..

tatizo ni particle zilizoko UDOM!
 
Huyu hasom udom, n kma anasoma bas n kilza mlipa watu wamfanyie kila. Kitu,, sahv hakuna matokeo yalyotoka hata ya 1st semister ye anataka acalculate GPA kwa tokeo lip labd? Au CA? Ha ha ha anawaumizen vichwa tuu huyu
 
Waaat.??? Uko chuo kweli wewe..I dout...usiwaharibie jina wenye chuo chao...ht prospectus hujui...endeleA kuuza mitumba usitupotezee muda
 
Mbona Gpa ziko toka primary school? Huenda hii hukua unajua ni Grade point average
 
Waaat.??? Uko chuo kweli wewe..I dout...usiwaharibie jina wenye chuo chao...ht prospectus hujui...endeleA kuuza mitumba usitupotezee muda

Acha dharau wewe, chuo kitu gani? Tz kuna chuo cha kumsema mtu hivyo? Prospectus zenyewe vimeo tu, at least ya chuo cha mipango, nyingine ofyo tu, moron
 
mkuu kuna siku nilikwambia hujitambui ukasema nakutukana..

sasa umejiweka wazi mbele za watu kuwa wewe hujijui!

UDOM sio tatizo.. ..

tatizo ni particle zilizoko UDOM!

Yanu huyu bwana anajoke na wewe hujagundua?
 
nauliza how to calculate GPA ,je hiyo iko costant kwa vyuo vyote bongo au duniani,naomba kujuzwa

Kwani chuo unachosoma kinasemaje?? Consult prospectus kila kitu kimo na madaraja yake yako wazi. Sasa kwa uzoefu wa UDSM na OUT ni kama ifuatavyo
A=5
B+=4
B=3
C=2
D=1
Hivyo kokotoa kwa idadi ya masomo kwa mfano kama una masomo major 9 na nane ni A na moja ni B+ kwa GP = 5x8+4x1= 44 then gawa 44/9 unapata G.P.A (Grade Points Average) 4.9 which is the First Class kwa Degrees. Diploma na Cheti wana utaratibu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…