msaada jinsi ya kucalculate GPA

msaada jinsi ya kucalculate GPA

Kupata Grade Point Average (GPA), jumlisha point za Marks zote ulizopata kwa kila somo halafu gawanya kwa idadi ya Masomo (units).
SUBJ MARKS GRADE POINT
Mfano 1. Acct and Fin 80 A 5
2. business Law 60 B 3

then GPA =4.0.
Umechanganya kidogo mkuu.
Kila somo hupewa uzito wake kulingana na chuo na kozi.
Kwa kutumia mfano hapo juu,kama acc inabeba 14 na Blaw ni 10, GPA ingekuwa:
(14*5 + 10*3)/(14+10) ambayo ni 4.1

NB Grade zinatofautiana kulingana na chuo husika, angalia prospectus ya chuo chako. Pia hapo utapata mwongozo wa 1st class, Upper 2nd na Lower Class.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom