msaada jinsi ya kucalculate GPA

Umechanganya kidogo mkuu.
Kila somo hupewa uzito wake kulingana na chuo na kozi.
Kwa kutumia mfano hapo juu,kama acc inabeba 14 na Blaw ni 10, GPA ingekuwa:
(14*5 + 10*3)/(14+10) ambayo ni 4.1

NB Grade zinatofautiana kulingana na chuo husika, angalia prospectus ya chuo chako. Pia hapo utapata mwongozo wa 1st class, Upper 2nd na Lower Class.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…