Ok jaribu airtelmmi ndo nakuambia,wapigue vida cm kma huamuni,mmi nilienda hadi vida shop maana nilishtua ndo cm ikapigwa makao makuu nikaambiwa mwanzo ulikuwa 5% sasahivi ni 10% piga cm voda hapo watakujibu
Alikatwa kiasi gani ?Mimi kwa uzoefu wangu hakuna gharama kubwa, kuna jamaa angu katumia M-pesa kuagiza mzigo wa 1.8m hakuna makato yakutisha!
Niliongea naye nadhani Nate Hana kumbukumbu kuhusu kiasi alichokatwa boss.Alikatwa kiasi gani ?
Mpk sasa sijapata jibu kamiliNiliongea naye nadhani Nate Hana kumbukumbu kuhusu kiasi alichokatwa boss.
Nenda stanbic omba ufunguliwe akaunti ya dola ya "current personal account" kadi yake ina rangu ya gold.. ila hakikisha una mwambia muhudumu unataka iwe na uwezo wa kufanya malipo online.Jaman wapwa msaada JINSI ya kufanya malipo ya bidhaa kwenye Alibaba, AliExpress na nyingine Kwa urahisi kama ilivo kwenye kiApplicaton Cha Kikuu
Please [emoji3064]
Kiongozi vipi Dola account ya crdb kwenye malipo ya mtandaoni wapo vizuri?Nenda stanbic omba ufunguliwe akaunti ya dola ya "current personal account" kadi yake ina rangu ya gold.. ila hakikisha una mwambia muhudumu unataka iwe na uwezo wa kufanya malipo online.
Ukishafungua deposit USD then njoo kwenye app fanya malipo.
NB: Usitumie kadi ya TSH au kadi za mpesa sijui airtel utaumia kwa makato.
airtel nilikuwa natumia iligoma ndo nikahamiaga m pesaOk jaribu airtel
Fungus account ya paypal