Msaada jinsi ya kufanya malipo ya bidhaa, Aliexpress, Alibaba na sehemu nyingine zenye bidhaa kali in Tanzania

Jaman wapwa msaada JINSI ya kufanya malipo ya bidhaa kwenye Alibaba, AliExpress na nyingine Kwa urahisi kama ilivo kwenye kiApplicaton Cha Kikuu

Please [emoji3064]
Nenda stanbic omba ufunguliwe akaunti ya dola ya "current personal account" kadi yake ina rangu ya gold.. ila hakikisha una mwambia muhudumu unataka iwe na uwezo wa kufanya malipo online.

Ukishafungua deposit USD then njoo kwenye app fanya malipo.

NB: Usitumie kadi ya TSH au kadi za mpesa sijui airtel utaumia kwa makato.
 
Kiongozi vipi Dola account ya crdb kwenye malipo ya mtandaoni wapo vizuri?
 
Back
Top Bottom