Msaada jinsi ya kufika lyamungo school

Msaada jinsi ya kufika lyamungo school

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufika lyamungo school nikitokea arusha
 
ukiwa moshi mjini stendi kuu panda gari zinazoenda kibosho umbwe mwisho wa gari ndo lyamungo uko
 
Unatokea wapi?

Afadhal mrud tu shule mmetusbua sana humu ndani.


Fika moshi mjini panda gari za kibosho ubwe shukia mwisho wa gar.... Chukua bodaboda akupeleke shulen maana kutembe hutoweza.
Gar lipia buku watakupa chench
 
baba njooo mosh mjini stend ilizia magar yakwenda kibosho umbwe ni umbali wa sh1000
 
shukran wakuu naomben pia namba za shule jaman
 
Back
Top Bottom