Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

Mbona wapo wengi hata hao uliponunua wanaweza kukusaidia!
 
Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma.

Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje?

Natanguliza shukrani [emoji120]
Tv unaita fundi mkuu hebu kanunue concrete nails ngonga panua tunduweka fisher na borit ukaze
 
Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma.

Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje?

Natanguliza shukrani 🙏
Ni mwanaume wa dar au mkoani?
 
Back
Top Bottom