Nataka nihame kutoka mbeya kwenda dar es salaam ila ninachombo cha moto (bajaji) nataka nihame nayo.
Hivyo naombeni taratibu za kufuata ili niweze kuhama nayo na kuifanyia kazi nitakapo fika dar, naomben maelezo nianzie wapi mpaka wapi maana ilikua na usajili wa mbeya