Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Program zinatabia hiiHeshima kwenu wakuu.
Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL Studio nafanyaje wakuu?
Naombeni muongozo wadau. Natanguliza shukran kwenu wakuu.
Thanks a lot.
mzee unapiga biti ngumu za Hip Hop?Import au drag hiyo beat yako katika program ya fl studio kwenye pattern yeyote..either pattern 1 au ya 2...iwe katika format ya WAV.subiri ikimaliza ku load mpka 100%
Utaona imekaa katika pattern pale
then katika pattern itakayofuata baada ya pale ilipo beat nenda add vst yeyote ya piano uliyonayo kama ni nexus,ravitu,purity. Nk
Then anza kupiga ukfuata key na bars za hiyo beat yako huku ukirecord
Samahani nimetoa maelekezo kama tu una ufaham au uzoefu na hiyo fl studdio..
NB: fl studio version kuanzia 8 itakufaa zaid
Ngoja waje...
Ila kitu kidogo kama icho unashndwaje kuingia youtube na kucheki tutorials tena utaongeza maarifa na kuwa Guru zaidi
Nisaidieni FL Studio Cracked Latest
Import au drag hiyo beat yako katika program ya fl studio kwenye pattern yeyote..either pattern 1 au ya 2...iwe katika format ya WAV.subiri ikimaliza ku load mpka 100%
Utaona imekaa katika pattern pale
then katika pattern itakayofuata baada ya pale ilipo beat nenda add vst yeyote ya piano uliyonayo kama ni nexus,ravitu,purity. Nk
Then anza kupiga ukfuata key na bars za hiyo beat yako huku ukirecord
Samahani nimetoa maelekezo kama tu una ufaham au uzoefu na hiyo fl studdio..
NB: fl studio version kuanzia 8 itakufaa zaid
fungua fl alafu kafungue folder ya computer yako ilipo iyo beat then ishikilie iyo beat idondoshee kwenye piano roll,simple kabisa...
ukianza kutafuta sample kali zenye ujazo nitafute
Program zinatabia hii
1. Delay/Autosilence in rendering files
Hii inatofautiana kutokana na format ya file, Yaani ukidrag beat ya mp3 ukaidrop kwenye track list ya FL ukizoom in mwanzoni utaona Kuna space katika waves spectrum, kwahiyo unahitaji kuapply cutting ya silence area na kuangalia upya by feeling how it sound.
2. BPM default calculation
BPM ya beat unapoiweka kwenye FL inakuwa sio the same na hasa kama beat haina tempo informations, kwahiyo unaweza calculate track BPM google for it then utaiset as default ndipo Uta add vitu vyako.
3. Compression
Unapofanya rendering Kuna details utazimiss kwasabu una export x2 x 1 instruments ambazo ziko pure exported from vst, so ni better ukacrack beat na kuipiga manually it's so simple if you know how yo play piano.
You can easily find key of your beat with advance tuning software like melodyne. Or you can use your ear.
Tumia pattern drag beat yako kwenye track list, don't forget to route into different mixer tracks.
mzee unapiga biti ngumu za Hip Hop?
Ushapata msaada au tuendelee kukuacha uteseke?
Ngoja uteseke,
PSR ngapi kinanda unachotumia