MSAADA : Jinsi ya Kuingiza Piano Kwenye Beat kwa Kutumia Fruit Loops (FL Studio)

Sanaaaaa.....yaani nikija balaa lake nakuja kuwa msanii mkubwa Zaid ya Diamond....namkubali Sana Dj Premier,Dre,Pete Rock,Appolo Brown,Duke,P Funk na wengine wengi

Baaaab kubwa kiongozi shusha hata ngoma mbili tatu wadau tupate ladha kimtindo mkuu...!
 
Heshima kwenu wakuu.

Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL Studio nafanyaje wakuu?

Naombeni muongozo wadau. Natanguliza shukran kwenu wakuu.

Thanks a lot.
Ondoa hofu bro.
Ingia youtube, kuna tutorials za kiswahili nyingi sana, zitakusaidia sana kuweza ku master matumizi ya FL Studio.
 
Nitafanya pia hivyo ngoja nipate mawazo ya wadau kiongozi. Thanks a lot.
 
Actually huwa nafungua tu FL na kuanza kugonga kutokana na vibes tu iliyokuja kwa muda huo mkuu. Hizi sample inakuwa ni instruments zinazotoka kwenye nyimbo nyingine za mbele au inakuaje mkuu...?
natafuta neno zuri lakin nakosa... yani nivile visound vinavyotumika kutengeneza mziki wako sample Ni Kama snare,toms,kicks, na nyingine nyingi...sasa kila mziki una sample zake mfano Kama unakata utengeneze hip hop lazima utafute sample za hip hop, afropop kuna sample zake, rege kuna sample zake kiufupi kila mziki una sample zake, japo unaweza kuchanganya ili kupata radha tofaut...lakin kuna sample ni basic lazima ziwepo kwenye huo mzik, mfano zuku ili iitwe zuku lazima uweke japo rimshot, woods flan hiv,conga, toms pia... ukiachilia mbali ubunifu kuna vitu aviwezekan kwenye mziki kama ukituekea sheka kwenye hiphop alafu ukasema ni ubunifu tutakupiga mawe....mimi kama mimi nina karibu sample za miziki yote duniani Kuna badhi ya sample kuzipata inabidi utumie jasho na damu, nishawai mfata kimambo aniuzie sample zake zile lakin alinizungusha utafkili ananipa bure
 
Sheka kwani hazi-sound kama hats mkuu...?
 
Lakini pia sample si unaweza kuzitengeneza pia kutoka kwenye beats nyingine mkuu...?

Na pia ku-chop maana yake ni nini kiongozi...?
 
uwezi kuchukua sample kwenye beat unachukuaje sasa....labda kuchop na kuchop ni kuchukua kipande cha instrumental au vocal kwa ajili ya kufanyia modification au kuendeleza

Ooooh owkay basi nikajua ku-sample ni sawa na ku-chop kiongozi...!
 
Kwani kwenye kusample si ndio unapata sample mkuu, au...?
Ku sample ni kutengeneza kitu chenye mfananio wa kitu flani lakini sio direct kabisa kama kilivyo kitu original, mfano labda nimeskia beat ya diamond sasa na namimi napita mule mule ila tu naongeza au napunguza, lakini ukikaa ukiskiliza unaona kabisa beat zinaendana ila Kuna tofaut tu ya vitu flani flani uko ndo kusample, alafu Kuna kitu kinaitwa kuremake hapa ndo unatengeneza kitu kinachofanana moja kwa moja kitu ulichokisikia, labda kule kwenye beat umeskia mute gitaa na ww unatafuta mute gitaa unaweka kwa melody ile ile yani unacopy kila kitu
 
Yah, lakini kuna utaratibu wa kuclear samples, kwa mfano una wimbo uliochukua sample katika nyimbo ama movie za zamani unaweza ukawacontact wenye hati miliki za nyimbo then mkagawana malipo ya sales za nyimbo.
Tafuta wimbo wa rapper Baby Smoove - Akorn jinsi producer alivyosample ile violin ya kwenye gangster movie ya The Godfather, na ame clear sample zote kwa hiyo hana tatizo.
 
Mkuu, kuliko kuhangaika na hiki kitu kimoja kwa nini usidevelop passion ya muziki na ukajifunza from scratch, ukafanya makosa machache ambayo yatakufanya uwe producer mzuri zaidi. Utajipatia kazi yenye malipo mazuri na kukutana na watu wanaopenda muziki kama wewe.
Ingia Youtube pitia walkthrough ya fl studio. Lakini usitake kukariri vitu just angalia vitu muhimu na jinsi ya kuvipata. Kama Piano roll, drum kits, installing VST plugins, effects, baadhi ya mbinu katika piano roll n.k.
Baada ya hapo ukajifunza Music Theory, kuna youtube channel ya Hack Music Theory wako vizuri sana, watakupa na free ebook ujifunze music theory. Baada ya hapo unaweza ukajifunza hata instrument moja ili kupanua wigo wa ujuzi wa muziki. Then ukaanza kutengeneza beats.
Cha muhimu kuwa experimental sana. Jaribu kutengeneza vitu original na vya kwako mwenyewe. Utafurahia sana na itakuongezea hata ubora wa maisha yako. Muziki ni tiba nzuri sana. Imagine unaamka asubuhi unatengeneza kitu ambacho hakikuwepo bado, thats creativity.
Nikipata muda ntatupia baadhi ya kazi zangu uzisikilize.

Niache Nteseke
 
yaa true
 
tupia vitu na mimi ntatupia
 
Back
Top Bottom