Kuna watu wa Diploma wanasoma pale na wengi wanachukuliwa wakiwa wamemaliza form 4.
Wakati mimi nasoma kuna vijana wengi tu waliopitia dipolma niliokutana nao kwenye degree level, lakini wengi walipitia UCC, nafikiri ni bora uende chuoni kupata information zaidi maana kuna mabadiliko mengi sana tangu niondoke chuo kutoka FIVE, mpaka SICT mpaka sasa COICT.