Msaada jinsi ya Kujiunga na Degree UDSM- COICT kwa aliyesoma Diploma(in C.S)

Msaada jinsi ya Kujiunga na Degree UDSM- COICT kwa aliyesoma Diploma(in C.S)

Geofree

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
44
Reaction score
5
Je inawezekana kwa mhitimu wa kidato cha nne kuanza ngazi ya cheti mpaka Degree COICT, inakuaje katika kuapply Degree?
 
kama wanatoa certificate na diploma inawezekana kwa miaka ya leo. ila ni lazima ujipange kupata A kila mtihani.
 
Kuna watu wa Diploma wanasoma pale na wengi wanachukuliwa wakiwa wamemaliza form 4.

Wakati mimi nasoma kuna vijana wengi tu waliopitia dipolma niliokutana nao kwenye degree level, lakini wengi walipitia UCC, nafikiri ni bora uende chuoni kupata information zaidi maana kuna mabadiliko mengi sana tangu niondoke chuo kutoka FIVE, mpaka SICT mpaka sasa COICT.
 
Labda upitie huko UCC na ujitahidi uwe unajua namba vzr!au soma diploma za engineering vyuo vvengine then degree usome COICT
 
Back
Top Bottom