Msaada: Jinsi ya kujiunga na wire transfer

Msaada: Jinsi ya kujiunga na wire transfer

Zydu

New Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu waungwana,

Naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na wire transfer ili inisaidie kwenye biashara zangu.
 
Habari zenu waungwana, naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na wire transfer ili inisaidie kwenye biashara zangu.

Mkuu wire transfer huwa hujiungi nayo. Ila hii unakuwa na pesa zako bank unaiamuru (you order) bank kufanya wire transfer kwa niaba yako. Wenyewe wakiita TT - telegraphic transfer.

Kwa njia hiyo utaweza kufanya malipo bila wewe kuwapo physically kupitia kwenye account ya bank ya muuzaji.

Kumbuka tozo za Mwigulu zitakuhusu.
 
Back
Top Bottom