Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya hayo yote ... Hakikisha App yako inajiendeshaHabari ndugu zangu, mimi ni kijana nilijikita kwenye Software development sasa kuna app yangu nimeitengeneza sasa nina tafuta wawekezaji, nilikua nina uliza naweza kujiunga vipi na hawa sahara ventures ili nipate nafasi ya ku pitch project yangu?
Kabla ya hayo yote ... Hakikisha App yako inajiendesha
Kwa
Maana
Mpaka sasa inakuingizia pesa...
Tatua Kwanza Hilo... Make sure Una wateja wa Kukupa pesa....
Si kushauri kuingia ktk kuweka matangazo, Bali watu wakulipe moja Kwa moja...
Ijapokuwa sijui app yako inafanya mini
Kikubwa iwe inaleta pesa kabla ya kutafuta investors... Pia tafuta investors toka nje
Sasa akiweza hayo..hao wawekezaji WA nje WA nini??Kabla ya hayo yote ... Hakikisha App yako inajiendesha
Kwa
Maana
Mpaka sasa inakuingizia pesa...
Tatua Kwanza Hilo... Make sure Una wateja wa Kukupa pesa....
Si kushauri kuingia ktk kuweka matangazo, Bali watu wakulipe moja Kwa moja...
Ijapokuwa sijui app yako inafanya mini
Kikubwa iwe inaleta pesa kabla ya kutafuta investors... Pia tafuta investors toka nje
Wanakuza alipoishiaSasa akiweza hayo..hao wawekezaji WA nje WA nini??