karma alvin
Member
- Jan 9, 2013
- 51
- 8
Na wale wenye mzunguko mfupi ambao kitaalam nasikia ili wapate mtoto lazima wagegedane wakati akiwa kwenye hedhi inakuwaje? Kuna ukweli katika hilo au ni uzushi?Mimba huweza tungwa ukifanya mapenzi bila ndom siku ya 12-16 kutokea hedhi.
Siku ya kwanza ya hedhi ni siku ya kwanza ya mzunguko wa mwanamke so hesabu kuanzia hiyo siku ya kwanza hadi ya 11 we gegeda kwa staili yeyote ile hata pata mimba, baada ya hapo pumzika siku ya 12-16, baada ya hapo endelea kugegeda.
Na wale wenye mzunguko mfupi ambao kitaalam nasikia ili wapate mtoto lazima wagegedane wakati akiwa kwenye hedhi inakuwaje? Kuna ukweli katika hilo au ni uzushi?
Na wale wenye mzunguko mfupi ambao kitaalam nasikia ili wapate mtoto lazima wagegedane wakati akiwa kwenye hedhi inakuwaje? Kuna ukweli katika hilo au ni
Jua kwamba siku ya hedhi ni siku ya kuondoa yai ambalo alikuweza kurutubishwa na sperm pamojaa na maeneo yaliyokuwa yameandaliwa ili kiumbe kitakachuwa kimepatikana kunata hapo.kama kuna zaid watu watajuza zaidi
Mimba huweza tungwa ukifanya mapenzi bila ndom siku ya 12-16 kutokea hedhi.
Siku ya kwanza ya hedhi ni siku ya kwanza ya mzunguko wa mwanamke so hesabu kuanzia hiyo siku ya kwanza hadi ya 11 we gegeda kwa staili yeyote ile hata pata mimba, baada ya hapo pumzika siku ya 12-16, baada ya hapo endelea kugegeda.
Mimba huweza tungwa ukifanya mapenzi bila ndom siku ya 12-16 kutokea hedhi.
Siku ya kwanza ya hedhi ni siku ya kwanza ya mzunguko wa mwanamke so hesabu kuanzia hiyo siku ya kwanza hadi ya 11 we gegeda kwa staili yeyote ile hata pata mimba, baada ya hapo pumzika siku ya 12-16, baada ya hapo endelea kugegeda.
Na wale wenye mzunguko mfupi ambao kitaalam nasikia ili wapate mtoto lazima wagegedane wakati akiwa kwenye hedhi inakuwaje? Kuna ukweli katika hilo au ni uzushi?
Na wale wenye mzunguko mfupi ambao kitaalam nasikia ili wapate mtoto lazima wagegedane wakati akiwa kwenye hedhi inakuwaje? Kuna ukweli katika hilo au ni uzushi?
Hata kuanzia siku ya 9 baada ya M.P mimba yaweza kutungwa pia.
Ila inategemea na mzunguko wa mtu, wengine huwa mbaya hadi siku ya19 kwa ambao tarehe zinavurugika bt wenye mzunguko mfupI mmh napata shaka bt kuna watu huwa wanashauriwa wagegedane wakati huo aliosema mtoa mada ili apate mtoto
Mkuu soma vizuri comment yangu, nimeomba kuelimishwa. Kusema tu nimelitumia vibaya bila elimu kwangu hujanitendea haki. NAOMBA ELIMU MKUUHilo neno kitaalam umelitumia vibaya.
Unajua hedhi inatokea kwa sababu gani?
Iwe mzunguko mfupi au mrefu ovulation day ni 14 na hao wenye mzunguko mfupi ni wachache sana kiasi kwamba unasema hawapo.
Hata kuanzia siku ya 9 baada ya M.P mimba yaweza kutungwa pia.
Mkuu soma vizuri comment yangu, nimeomba kuelimishwa. Kusema tu nimelitumia vibaya bila elimu kwangu hujanitendea haki. NAOMBA ELIMU MKUU