DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Sorry hivi na wale wanawake ambao wanaingia M.P mara2 kwa mwez nao inakuwaje?
Sijawahi sikia mtu anaye bleed mara 2 kwa mwezi, mtu awe ana mzunguko mrefu au mfupi lazima atumie siku 14 kwa ovulation na yai lita subiri siku mbili ili lirutubishwe baada ya hapo huwa linatoka.
Mzunguko mfupi nnaoufaham ni wa siku 20, na mrefu ni wa siku 35 na hawa ni wachache sana.
Mzunguko wa kawaida ni siku 28/29 na ata breed siku 3-5.