Msaada jinsi ya kujua tarehe ya mimba

Sorry hivi na wale wanawake ambao wanaingia M.P mara2 kwa mwez nao inakuwaje?

Sijawahi sikia mtu anaye bleed mara 2 kwa mwezi, mtu awe ana mzunguko mrefu au mfupi lazima atumie siku 14 kwa ovulation na yai lita subiri siku mbili ili lirutubishwe baada ya hapo huwa linatoka.

Mzunguko mfupi nnaoufaham ni wa siku 20, na mrefu ni wa siku 35 na hawa ni wachache sana.
Mzunguko wa kawaida ni siku 28/29 na ata breed siku 3-5.
 
mdanganye sasa kuanzia siku ya 12! Mimba inaweza kutungwa kuanzia siku ya 9 baada MP
 
mdanganye sasa kuanzia siku ya 12! Mimba inaweza kutungwa kuanzia siku ya 9 baada MP

Nmepractis hii kitu ndio maana nasema hivyo, x-sperm ina survive 72 hrs and y-sperm 48 hrs na zote huingia kwa wakati mmoja, wanachotofautiana ni speed, y-sperm has high spd than x-sperm.
Nieleze siku ya 9 inawezekanaje kupata mimba.
 
Kwa haya haya maelezo uliyoyaandika, umeshasema x-sperm zinasurvive 72 hours, so huwezi kumshauri mtu akafanya mapenzi siku ya 9 wakati sperm za x zitakuwa hai hadi siku ya 12? Mimi binafsi ilinitokea, nilisex siku ya 9 na siku-sex tena baada ya hiyo siku na nikapata ujauzito wa first boarn wangu, to me siku za hatari ni kuanzia siku ya 9 hadi 16 after MN

Nmepractis hii kitu ndio maana nasema hivyo, x-sperm ina survive 72 hrs and y-sperm 48 hrs na zote huingia kwa wakati mmoja, wanachotofautiana ni speed, y-sperm has high spd than x-sperm.
Nieleze siku ya 9 inawezekanaje kupata mimba.
 
Kwa hyo baada ya siku ya 16 unaweza kuendelea kufanya mapenz hd mwisho usipate mimba
 
Kama siku ya 12 sprerm zote zitakuwa zimekufa kabla ya ovulation, iliwezekanaje yai kurutubishwa?
Maana ovulation inatokea day 14.
Any way nashukuru kwa taarifa mpya na ww ndo wakwanza kusikia.
 
Kwa hyo baada ya siku ya 16 unaweza kuendelea kufanya mapenz hd mwisho usipate mimba

Kuanzia siku ya 17 na kuendelea, ila siku ya 17 usiiamini sana, maana hujui saa sahihi ya ovulation.
 
Utakuwa uko standard ngapi kijana? Kama ana mimba kakuchomekea. Ila pia kuna watu wana double ovulation.
 
Ukisoma kwenye net wanasema hivyo na sababu zao hazieleweki.

Hesabu inachukuliwa kwa assumption kwamba m.p ni siku tatu plus 9 utapatapa 12,itakuwa kama msemaji wa kwanza na imekuwa hivyo nikwakuwa tu sperm inaweza survive more than one day lakin sana ovulation ni 13 or 14 na kuendelea
 
mdanganye sasa kuanzia siku ya 12! Mimba inaweza kutungwa kuanzia siku ya 9 baada MP

Ni sawa tu,ukisema siku 9 baada ya M.P ni sawa na kusema siku ya 12 tangu uanze kubleed kwani MP ni kati ya siku 3-5,na kwahesabu hizo ni bwaya kwa kunawatu wanableed hadi 5 plus hizo siku 9 ulizosema inakuwa 14,ambayo ni ovulation kwa hiyo majanga.
Maana siku 9 baada ya kubleed nadhani ni applicable kwa wale waendao siku 3.

Ila pia zingatia na life ya sperm zetu can survive more than 24hours
 
Kama siku ya 12 sprerm zote zitakuwa zimekufa kabla ya ovulation, iliwezekanaje yai kurutubishwa?
Maana ovulation inatokea day 14.
Any way nashukuru kwa taarifa mpya na ww ndo wakwanza kusikia.

day 14 ni counting from the first day ya menses..ovulation ndo inatake place.but tunaongeza na kupunguza mbili meaning she can get pregnant from day 12 to 16.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…