B B the Don Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 4 Sep 28, 2013 #1 Naomba kueleweshwa jinsi ya kukokotoa % za mkopo.
B BILLION Member Joined Sep 12, 2013 Posts 64 Reaction score 34 Sep 28, 2013 #2 Chukua ada uliyolipiwa na bodi gawa kwa ada ya chuo ulicho chaguliwa, jibu lizidishe kwa asilimia 100. NB: Katika kujua asilimia uwa tuna-deal na ada tu. Boom na mengineyo una-neglect.
Chukua ada uliyolipiwa na bodi gawa kwa ada ya chuo ulicho chaguliwa, jibu lizidishe kwa asilimia 100. NB: Katika kujua asilimia uwa tuna-deal na ada tu. Boom na mengineyo una-neglect.
B B the Don Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 4 Sep 28, 2013 Thread starter #3 BILLION said: Chukua ada uliyolipiwa na bodi gawa kwa ada ya chuo ulicho chaguliwa, jibu lizidishe kwa asilimia 100. NB: Katika kujua asilimia uwa tuna-deal na ada tu. Boom na mengineyo una-neglect. Click to expand... thanks mkuu.
BILLION said: Chukua ada uliyolipiwa na bodi gawa kwa ada ya chuo ulicho chaguliwa, jibu lizidishe kwa asilimia 100. NB: Katika kujua asilimia uwa tuna-deal na ada tu. Boom na mengineyo una-neglect. Click to expand... thanks mkuu.