Msaada:Jinsi ya kukalkuleti % za mkopo

Msaada:Jinsi ya kukalkuleti % za mkopo

Chukua ada uliyolipiwa na bodi gawa kwa ada ya chuo ulicho chaguliwa, jibu lizidishe kwa asilimia 100.

NB: Katika kujua asilimia uwa tuna-deal na ada tu. Boom na mengineyo una-neglect.
 
thanks mkuu.
 
Back
Top Bottom