Msaada: Jinsi ya kumfollow mtu hapa Jf

Msaada: Jinsi ya kumfollow mtu hapa Jf

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Mwaka mpya wa 2018 na mambo mapya
Demiss hapa jaman Leo Jf imenitoa ushamba kuna mtu Nataka nimfollow hapa Jf.
Nimeshindwa Jinsi ya kumfollow mtu mmoja hapa huwa ananivutia Sana Kwa nyuzi zake na comment zake natamani kuziona kila muda.

Leo nakubali Jf imenitoa ushamba jaman naombeni mnifundiahe kumfollow mtu please

Wewe unayejijua Nataka nikufollow naomba uje hapa unielekeze haraka.
 
Click jina la member ambaye unataka umfollow

Itakujia profile ake, isome kwa makini utaona sehem ya kufollow kulia juu kama unatumia browser lakini
 
Njaa ikiwa inaniuma kila ninachoona kinanikasirisha, sasa hapa sijajua nina hasira kisa wivu au njaa
Yawezekana wivuuu tu Mkuu Hakuna kingine
 
[emoji3][emoji3][emoji3]tunaenda kutafuta wote
Follow me....
Screenshot_2018-01-02-21-10-56.png
 
Back
Top Bottom