kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
Wadau nina kijana wangu hapa ameshindwa kuenda kufanya kazi sehemu aliyopangiwa na wizara ya elimu katika ajira mpya. Nimeona kuna majina ya walimu waliomba kubadilishiwa vituo na wakakubaliwa. Ningependa kujulishwa jinsi ya kuomba kubadilishiwa kituo kwa mwajiliwa ambaye hajaripoti bado. Nitanguliza shukrani