Msaada jinsi ya kuomba kubadilisha kituo ajira mpya

Msaada jinsi ya kuomba kubadilisha kituo ajira mpya

kasyabone tall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2009
Posts
254
Reaction score
63
Wadau nina kijana wangu hapa ameshindwa kuenda kufanya kazi sehemu aliyopangiwa na wizara ya elimu katika ajira mpya. Nimeona kuna majina ya walimu waliomba kubadilishiwa vituo na wakakubaliwa. Ningependa kujulishwa jinsi ya kuomba kubadilishiwa kituo kwa mwajiliwa ambaye hajaripoti bado. Nitanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom