Wakuu, nina mdogo wangu yeye kachaguliwa ATC (Electrical Engineering) anataka kubadilisha ili apelekwe DIT (Electrical Engineering).
Sasa, swali langu ni kwamba, mwenye kujua utaratibu/mtiririko mzima utakao muwezesha abadilishiwe chuo. anijuze tafadhali.
Shukrani