Msaada: Jinsi ya Kuomba uhamisho kutoka ATC kwenda DIT

Msaada: Jinsi ya Kuomba uhamisho kutoka ATC kwenda DIT

Fibonacci

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
377
Reaction score
205
Wakuu, nina mdogo wangu yeye kachaguliwa ATC (Electrical Engineering) anataka kubadilisha ili apelekwe DIT (Electrical Engineering).

Sasa, swali langu ni kwamba, mwenye kujua utaratibu/mtiririko mzima utakao muwezesha abadilishiwe chuo. anijuze tafadhali.

Shukrani
 
Sababu hasa ni nini mkuu ?

Am Just asking !
 
Sababu hasa ni nini mkuu ?

Am Just asking !

Sababu hasa ni nini mkuu ?

Am Just asking !

DiT kipo vizuri. sababu kipo Dar sehemu ambayo kuna vyuo vingi kama UDSM, St. Joseph, Ardhi n.k Hii itamsaidia kubadlishana ujuzi & mawazo nawanafunzi/walimu wa vyuo tajwa hapo awali. Alafu elimu ya pale ipo juu.

No Any Offense Intended
 
Back
Top Bottom