Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
- Thread starter
-
- #21
thankssio tatizo mkuu....hiyo ni nature,mazoea ndio chanzo cha kujiamini.
believe in yourself and time will resolve everything
Mkuu nakufata pm sasa hivi!!How to win friends and influential people....usome hicho kitabu
kama huna ni PM E-mail ili nikurushie fasta me ninayo soft copy
lipoje??una tatizo kitaalam linaitwa Social Anxiety
Ni confidence, siyo ulivyoandika wewe.
Soma kitabu cha Dale Carnegie "How to win friends and influential people" kitakusaidia sana kupita maelezo. Kitabu hicho ni my all time favorite kati ya vitabu vya "how to...".
jitahidi usafi, ukiwa smart muda wote hata confidence nayo inaongezeka,pili usiwe mtu wa kujifikiria fikiria sana kwamba ukiongea kitu watu wataona umeongea pumba,tatu jitahidi kufanya mazoezi itakusaidia kukujengea hali ya kujiaminiHabari zenu wanajamvi leo ningependa kufundishwa njia zitakazo niwezesha kuwa mtu wa kujiamini niwapo mbele ya watu.
Nasikitika sana juu ya tatizo hili ambalo toka utotoni mwangu hii nimegundua jinsi malezi yangu yalikuwa ndiyo chanzo cha kupungua kujiamini kwani nilikuwa napigwa sana hivo kuuliza kitu ama kuongea ilikuwa ngumu kwangu hivo mpaka sasa nimekuwa muhanga mkubwa.
Naomba kujuzwa mbinu zitakazonifanya niwe bora zaidi katika kujiamini,
Kwani now najiandaa kwenda chuo nikiwa na tatizo hili ndani ya kichwa changu.
Hili nalo Nenojitahidi usafi, ukiwa smart muda wote hata confidence nayo inaongezeka,pili usiwe mtu wa kujifikiria fikiria sana kwamba ukiongea kitu watu wataona umeongea pumba,tatu jitahidi kufanya mazoezi itakusaidia kukujengea hali ya kujiamini
Na mimi naweza kupata soft copy yake kaka?Mkuu nakufata pm sasa hivi!!
vuta bange kunywa na viroba umemalizaHabari zenu wanajamvi leo ningependa kufundishwa njia zitakazo niwezesha kuwa mtu wa kujiamini niwapo mbele ya watu.