Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

Kasome cheti ndio utasikia raha,chuo kikuu lazma umwage ngeli mbele ya wenzio na maprofessa sasa ndo utajikojolea
 
Unahitaji kitu cha arusha ili uwe na confidence
 
Plus The Power of Positive Thinking bila ya kusahau kile cha the Law of Success cha Napoleon Hill
Ni confidence, siyo ulivyoandika wewe.

Soma kitabu cha Dale Carnegie "How to win friends and influential people" kitakusaidia sana kupita maelezo. Kitabu hicho ni my all time favorite kati ya vitabu vya "how to...".
 
Yaani wewe nenda kajiandikishe kwa ras simba! Ndani ya miezi 3 mambo yootee yanakaa ndani ya mstari!
 
Kula kaya kwa wingi mkuu, na wakati unavuta uwe unaiomba ikusaidie upate kujiamini kwa kila jambo, fanya hivo kwa kipindi cha mwezi mmoja utaona mabadiliko.
 
Jitahie kutongoza mademu jeuri/kiburi/vigego....
Au kama tatizo lugha nenda kwa ras simba..
Vinginevyo unahitaji maombi
 
Habari zenu wanajamvi leo ningependa kufundishwa njia zitakazo niwezesha kuwa mtu wa kujiamini niwapo mbele ya watu.

Nasikitika sana juu ya tatizo hili ambalo toka utotoni mwangu hii nimegundua jinsi malezi yangu yalikuwa ndiyo chanzo cha kupungua kujiamini kwani nilikuwa napigwa sana hivo kuuliza kitu ama kuongea ilikuwa ngumu kwangu hivo mpaka sasa nimekuwa muhanga mkubwa.

Naomba kujuzwa mbinu zitakazonifanya niwe bora zaidi katika kujiamini,
Kwani now najiandaa kwenda chuo nikiwa na tatizo hili ndani ya kichwa changu.
jitahidi usafi, ukiwa smart muda wote hata confidence nayo inaongezeka,pili usiwe mtu wa kujifikiria fikiria sana kwamba ukiongea kitu watu wataona umeongea pumba,tatu jitahidi kufanya mazoezi itakusaidia kukujengea hali ya kujiamini
 
Vaa suti, weka kioo kirefu kama wanavyotumia aki na dada kujiremba asubuhi, simama mbele ya kioo, anza kutoa mada huku ukijiangalia. Ukiweza kumaliza mpaka mwisho basi 50% + umejiamini. Halafu kusanya watoto wa chekechea, andaa mada, wape mada hata hadithi za uongo, Halafu kusanya watoto wa darasa la saba wa jinsia mchanganyiko wawili mpaka wanne na toa mada zako na rika zingine zitafuata.
 
Me naelewa psychology.
Na hapo nimeshakuelewa tatizo lako.

Kama unataka kuongea mbeleza watu wengi kwa mkutano ambao sio rasmi sana fanya hivi.
Chukua simu ghafla alafu ujifanye umepigiwa.
Hapohapo katikati ya watu jifanye unapokea alafu ongea kwa nguvu kila mtu akusikie akugeukie.
Jaribu kuongea maneno makali makali huku umefocus kwenye simu yako uchwara lakini unapepesa macho kwa watu.

Watu watakuangalia kwa kipindi kifupi na kukusikiliza kidogo kisha wataendelea na mambo yao hapo utakua wamekuzoea.

Na wametengeneza picture fulani huyu mtu ni wa aina gani. Jifanye unaongea zisizidi dakika tatu alafu kata simu.

Then baada ya hapo anza kupresent kitu unachotaka rasmi kwa hao watu wako

Ukifanya hivyo mara mbili mara tatu utazoea kuangalia macho ya watu wengi bila kuwaogopa.

Wakati unaongea na watu unabidi uwachukulie wote kama watu dhaifu na hawakuwezi kwa lolote punguza kuongea kwa mikono ishara sana na tembeza macho pembe zote.

Ikikushinda kuwaangalia machoni waangalie vichwani.
 
Habari zenu wanajamvi leo ningependa kufundishwa njia zitakazo niwezesha kuwa mtu wa kujiamini niwapo mbele ya watu.

Nasikitika sana juu ya tatizo hili ambalo toka utotoni mwangu hii nimegundua jinsi malezi yangu yalikuwa ndiyo chanzo cha kupungua kujiamini kwani nilikuwa napigwa sana hivo kuuliza kitu ama kuongea ilikuwa ngumu kwangu hivo mpaka sasa nimekuwa muhanga mkubwa.

Naomba kujuzwa mbinu zitakazonifanya niwe bora zaidi katika kujiamini,
Kwani now najiandaa kwenda chuo nikiwa na tatizo hili ndani ya kichwa changu.
vuta bange kunywa na viroba umemaliza
 
Back
Top Bottom