Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

shukran mkuu
 
Hiyo no.9 ni sawa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kusudio halisi la dini watu hawalifahamu sawa sawa. Pata neno jipya kwamba tunamwabudu Mungu kwa ajili ya afya njema. Afya njema ni pamoja na kujiamini.

Tumia hekima ya Mungu kutatua tatizo lako kwa kujifunza neno lake na kufanya ibada. Tatizo hilo litakwesha.

 
Mkuu ukipata Majibu Nasisi utusaidie wenye Changamoto kama yako hiii
 
Kula mneli tu Sana Sana skanka
 
we dogo umenifanya tang jana nikitembea majiani mwendo wa kukodoleana mimacho tu na nnaopishana nao ..mtu akinianagalia na mie na muangalia mwisho hua anatoa yeye mwenyewe salam na anakua dhaifu kwangu kiukweli hii comment yako imenizidisha ujasiri sana ..kwakweli nimeisave kwenye folder kwa matumizi ya baadae ...ikitokea confidence imepungua hua lazima nikipitie kimsemo chako ili niwe imara zaid
 
Kama una kichwa kizuri kula bange na bapa
bana askwambie mtu confidence inaengezeka kwa double kikck au smart maana nmewashughudia walevi weng wanavyojibishana na watu wazito kwenye maeneo na ata usiku mlev haogop anapita popote na kwa hali yyte
 
Piga kinywaji kidogo tatizo litaisha utanishukuru baadaye
 
Ni confidence, siyo ulivyoandika wewe.

Soma kitabu cha Dale Carnegie "How to win friends and influence (influential) people" kitakusaidia sana kupita maelezo. Kitabu hicho ni my all time favorite kati ya vitabu vya "how to...".
Naomba unisaidie hiki kitabu ndugu
 
Ni confidence, siyo ulivyoandika wewe.

Soma kitabu cha Dale Carnegie "How to win friends and influence (influential) people" kitakusaidia sana kupita maelezo. Kitabu hicho ni my all time favorite kati ya vitabu vya "how to...".
Bi mkubwa hongera kwa kupitia hiyo kitabu
 
"If you hear a voice inside you says don't paint then by all means paint and the voice will be silenced"
 
Pia tafuta kitabu cha Atomic habits by James clear usome.Pia Acha nyeto mpaka ugain confidence jaribu kuongea mbele ya watu mdogo mdogo utaweza alafu nawe siku utashangaa utakuwa motivational speaker mzuri kuinua wengine
 
Pia tafuta kitabu cha Atomic habits by James clear usome.Pia Acha nyeto mpaka ugain confidence jaribu kuongea mbele ya watu mdogo mdogo utaweza alafu nawe siku utashangaa utakuwa motivational speaker mzuri kuinua wengine
Tujaribu kuhandle small group of people the way tunatarajia kuhsndle group kubwa of people.

Mara nyingi sana hatujali pale thnapoongea na watu wachache alafu tunakuja kujali pale tunapotaka kuongea na watu wengi.

Kama unataka kuwa mzungumzaji mwenye pints mbele ya watu wengi basi hakikisha unakuwa mzungumzaji mzuri mwemye points mbele ya watu wachache kwanza hata wewe na mkeo na wanao au na marafiki kazini.

Unataka kuwa na confIdence mbele ya watu wengi hakikisha unakuwa na confidence mbele ya watu wachache kwanza.

Kama unatakka kuwa mchekeshaji mbele ya watu wengi hakikisha unskuwa mchekeshaji mbele ya watu wachache kwanza.

"The way you do something it's the way you do everything"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…