Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni tatizo kubwa kwa wa tz. Ndio maana watu Wengi wanakuwa walevi vyuoni. Kama ukshindwa kabisaaaa jaribu viroba kila unapopata kusimama mbele ya watu. Rejea, kitwanga.
Ni confidence, siyo ulivyoandika wewe.
Soma kitabu cha Dale Carnegie "How to win friends and influential people" kitakusaidia sana kupita maelezo. Kitabu hicho ni my all time favorite kati ya vitabu vya "how to...".
Kwenye maduka ya vitabu.
Pole sana nduguyangu. Tatizo la kupiga watoto ni baya kuliko maelezo. Wazazi wetu hawajajua tu. Na kuathirika na malezi ya ki tumwa na kikoloni, walidhani wanaafanya kitu kizuri. Research zinaonesha bakora zinasaidia pale tu zinapotumika sawasawa. Lakini kutumika sawa sawa ndio vipi? Ni sawasawa na kusema pombe nzuri kama ikitumika kidogo.Habari zenu wanajamvi,
Leo ningependa kufundishwa njia zitakazo niwezesha kuwa mtu wa kujiamini niwapo mbele ya watu. Nasikitika sana juu ya tatizo hili ambalo toka utotoni mwangu hii nimegundua jinsi malezi yangu yalikuwa ndiyo chanzo cha kupungua kujiamini kwani nilikuwa napigwa sana hivo kuuliza kitu ama kuongea ilikuwa ngumu kwangu hivo mpaka sasa nimekuwa muhanga mkubwa.
Naomba kujuzwa mbinu zitakazonifanya niwe bora zaidi katika kujiamini,
Kwani now najiandaa kwenda chuo nikiwa na tatizo hili ndani ya kichwa changu.
gud mkuu
Bangi kidogo
Pombe kiasi
Kiroba cha chukuchuku kwisha
😂😂😂Kwanza jua Kiingereza iyo ni kwa Mwanaume. Kwa mwanamke uwe na makalio makubwa
Ngoja nikupe siri kubwa ya kuongeza confidence. Kalili maneno ambayo unaweza kuongea zaidi ya dakika tatu, halafu nenda kasimame kwenye kioo kikubwa unachojiona angalau nusu ya mwili wako (kuanzia kiunoni hadi kichwani). Halafu anza kuongea yale maneno uliyokalili huku ukiitazama sura yako kwenye kioo, tena ikazie macho kweli na uitizame machoni. Nakuhakikishia, siku ya kwanza hutaweza kuongea maneno hayo zaidi ya dakika moja huku ukiiangalia sura yako. Lazima utaionea aibu sura yako. Jitahidi kufanya mazoezi haya mara kwa mara ili uweze kuongea kwa muda mrefu ukiwa unaiangalia sura yako. Baada ya hapo, utakuwa na confidence nzuri tu.Hilo tatizo linanitesa Sana