msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
Habari.
Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar.

Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine

Naomba msaada ni njia gani nitumie

Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
 
unatumia App gan kuingia Lite au yenyewe
 
Kama unatumia app ya facebook ifungue picha unayotaka kisha iguse katikati mara moja..zitakuja dot 3 kulia juu ya picha..gusa huzo dot kisha utaona save to phone.. bonyeza hapo kisha picha itakua tayar kweny sim yako
 
Back
Top Bottom