Msaada: Jinsi ya kupata gawio langu kutoka Swissport

Msaada: Jinsi ya kupata gawio langu kutoka Swissport

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Ninaomba msaada wa kuelekezwa kutoka kwa yeyote kutoka Jamiiforums. Mimi ni mwanahisa wa Swissport na bahati mbaya nilipoteza cheti changu muda mrefu uliopita na sijapata gawio langu sasa yapata miaka 8.

Nifuate njia gani ili niweze kupata cheti changu na gawio langu kwa miaka hiyo yote.

Tafadhali maelekezo na msaada wenu.
 
Wabongo mpo shallow sana, hujui hata pa kwenda na Nida yako kweli?
 
Back
Top Bottom