Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha Masomo(study permit) nchini Afrika Kusini

Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha Masomo(study permit) nchini Afrika Kusini

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
3,418
Reaction score
5,028
Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa 🇿🇦 au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa hizo documents zako. Nataka niombe hii visa sasa sina ABCs zake

Mwenye ujanjaa au connection ya kitu chochote kuhusiana na hili jambo karibuni. Asanteni
 
Mtanzania huitaji Viza kuingia South Africa. Wasalimie hapo kijiweni
 
Uwe na admission letter ya chuo chako.

Pia study permit unaweza kuomba wewe au chuo chako kikakutafutia.

Nenda karipoti chuo kwanza. Utaprocess study permit huku ukiendelea na masomo.
 
Uwe na admission letter ya chuo chako.

Pia study permit unaweza kuomba wewe au chuo chako kikakutafutia.

Nenda karipoti chuo kwanza. Utaprocess study permit huku ukiendelea na masomo.

kumbe inawezekana nika apply nikiwa kulekule SA. Na je sitalazimika kuja bongo?
 
Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa [emoji1221] au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa hizo documents zako. Nataka niombe hii visa sasa sina ABCs zake

Mwenye ujanjaa au connection ya kitu chochote kuhusiana na hili jambo karibuni. Asanteni

Dah umenikumbusha pale UWC..
 
Back
Top Bottom