social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,260
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana miaka 24, elimu yangu degree holder, nime specialize katika administration natafuta marafiki toka nje ya mipaka ya Tanzania, naombeni msaada nitawapata vipi hususani katika social media nina project ikiwemo kuanzisha non profit organization nyingi naitaji support wabongo wanabana sana.
Asante.